日本語
HOME > 業務内容 > 検査サービス > 規制検査 > ケニア路上使用適格性検査

Utenndaji/Ukaguzi Ukaguzi wa kuongoza/ Ukaguzi wa ustahili wa kuendesha magari barabarani nchini Kenya

Ukaguzi wa ustahili wa kuendesha magari barabarani nchini Kenya

日本語ページへ

img_rwi_ins1.JPG

Shilika la Viwango katika Kenya(KEBS) wameagiza JEVIC kuongoza ustahili wa kuendesha magari barabarani kabla ya kupeleka vitu nchi nyingine magari yanayotumizwa kutoka nchini Japan na Dubai yanayosubiwa kutumiwa na ndani ya nchini Jamuhuri ya Kenya.

Ukaguzi huu umeanzishwa na KEBS kupunguza hatari ya magari yasiyokuwa na usalama wala hali halisi kuingia sokoni mwa nchini Kenya kwa sababu ya kuhakikisha afya, usalama na uangaliaji wa mazingira kwa watu wa nchini Kenya. Magari yote yanayotumizwa lazima yakute kanuni ya KRBS usalama muhimu wa ukaguzi huu wa kabla ya kupeleka vitu nchi nyingine

Pointi kubwa ya kuzunguka RWI

  • Gari hili lazima liwe lipya kuliko miaka minane.
  • Gari hili lazima liendeshwa na pande ya kulia.
  • Gali hili lazima limarizie ukaguzi wa usalama na wa mashine.
    (ukaguzi huu unafanana na ukaguzi wa muda maalum wa kijapani- shakan)
  • chombo cha kupima mbio ya gari lazima kulingana sawa na hesabu ya maili zilizoendwa.
    Kubadirisha chombo kilichodanganya au kurudisha hali ya matawi hairufusiwi.

Kenya Announcements

Global Announcements

img_rwi_cer.gif